Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana. (Ebr 11:1) Kama vile vipofu wawili walivyopata kuona tena miaka elfu mbili iliyopita kwa sababu waliamini na kutenda maneno ya Yesu, leo, waumini wa Kanisa la Mungu pia wanaamini maneno yaliyotolewa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama na kuyatenda kwa mioyo yao. Matokeo yake, wanatimiza kazi ya ajabu ya injili kulingana na imani yao.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha