Kanisa la Mungu linatumaini kwamba wanadamu wote wataingia katika ufalme wa mbinguni pamoja, likiwasilisha upendo na furaha ya Mama wa Mbinguni kwa watu wengi wanaochoka katika jamii ambapo ubinafsi unatawala.
Mahali pa umoja, kwa moyo wa Mama wa Mbinguni. Kwa moyo wa Mama, waumini wa Kanisa la Mungu wameungana na wanatenda matendo mema kulingana na mafundisho Yake. Waumini wanawapenda na kuwaheshimu wengine wote kama wanavyojipenda wenyewe.
(Hadithi kuhusu sehemu za mwili wa mtu aliyepata maziwa ya nguruwe kuponya ugonjwa wa mfalme; kila sehemu ya mwili wake ilisisitiza kuwa ndiyo bora zaidi.)
1 Wakorintho 12:20–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha