Tukijua ni siku gani Yesu Alifufuka, tunaweza pia kujua ni siku gani ya juma ni siku ya Sabato ambayo Mungu Alituamuru tuikumbuke na kuitakasa.
Marko 16:9 inasema kwamba Yesu Alifufuka siku ya Jumapili, siku ya kwanza ya juma.
Kutokana na hili, tunaweza kuelewa kwamba siku iliyotangulia, siku ya Sabato, ilikuwa Jumamosi.
Kama Biblia inavyoshuhudia kwamba siku ya Sabato ni Jumamosi, na si Jumapili, Kanisa la Mungu humwabudu Mungu siku ya Jumamosi kulingana na mafundisho ya Biblia.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha