Wakati Waisraeli hawakushika maagizo na sheria za Mungu, Mungu Aliwaacha, nao wakawa dhaifu kiasi kwamba walikanyagwa na mataifa. Walakini, walipomtumikia Mungu peke Yake kwa uaminifu, Alikuwa pamoja nao daima, nao wakawa taifa lenye nguvu na kufurahia amani. Kama ilivyoandikwa katika Waamuzi, 1 Mambo ya Nyakati, 1 Wafalme, na kadhalika, kila walipofanya uovu na kumwacha Mungu, walipata matokeo yaleyale mwishowe – walishindwa.
Kulingana na somo hili la Biblia, Kanisa la Mungu linafuata mafundisho ya Mungu Baba na Mungu Mama, ambao Wamekuja kama Waokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu. Mungu Yupo pamoja nasi daima na Analinda Sayuni zote kote ulimwenguni.
Kwa maana kila kitu kilichoandikwa zamani, kiliandikwa kutufundisha. . .
Warumi 15:4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha