Toba inamaanisha kugeuza nia ya mtu ya dhambi ambayo imekuwa ikiuelekea ulimwengu huu na kuuelekea ulimwengu wa neema ya Mungu. Kila mwaka, waumini wa Kanisa la Mungu wana wakati wa kutubu dhambi zao mbele za Mungu wakati wa Wiki ya Maombi kwa ajili ya Siku ya Upatanisho.
Biblia inasema kwamba wokovu unatolewa kwa wale waziungamao dhambi zao, na kwamba Mungu huwachukulia kuwa wazuri. (Mfano wa Mwana Mpotevu katika Luka 15)
Jinsi ya kufanya toba kamili katika enzi ya Roho Mtakatifu Mtume Yohana aliandika kwamba sisi, tunaoishi katika enzi ya Roho Mtakatifu, tunaweza kupata wokovu tunapowajia Roho na Bibi arusi, ambao ni Mungu Baba na Mungu Mama.
Kulingana na mafundisho ya Biblia, Kanisa la Mungu linaamini katika Mungu Baba na Mungu Mama, ambao Wamekuja kama Waokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu. Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha