Kuna makumi ya maelfu ya makanisa ulimwenguni.
Ni nini kinachofanya Kanisa la Mungu kuwa tofauti?
Kanisa la Mungu limeanzishwa katika mikoa 7,500 katika nchi 175 duniani kote.
Linashika Siku ya Sabato na Pasaka kulingana na Biblia.
Linaamini katika Mungu Baba na Mungu Mama.
Kanisa linawasilisha upendo wa mama kupitia shughuli zaidi ya 20,000 za kujitolea.
Kanisa linatambuliwa na serikali na marais duniani kote.
Tungependa kulitambulisha Kanisa la Mungu, ambalo linabadilisha na kuokoa ulimwengu mzima.
00:00 Nini Hufanya Kanisa la Mungu Kuwa Tofauti?
00:09 Kanisa Limeanzishwa Duniani Kote
00:25 Kanisa Linalofanya Kazi Kulingana na Biblia
00:49 Kanisa Linalowasilisha Upendo wa Mama
01:18 Kanisa Linalotambuliwa na Ulimwengu
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha