Watu wanaowaamini Mungu Baba na Mungu Mama hawapatikani nje ya Kanisa la Mungu kwa sababu hawapo katika ukweli wa agano jipya.
Biblia inafundisha kwamba watu wa Mungu wanaolishika agano jipya tu ndio watakaomjua Mungu Elohim kikamilifu—Mungu Baba na Mungu Mama.
Ni katika Kanisa la Mungu tu ndipo watu wanaelewa na kuishika sheria ya agano jipya, na hivyo wanamjua na kumpokea Mungu Elohim kwa usahihi, Mwokozi wa enzi hii.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha