Ikiwa mnajiandaa kwa ajili ya mbinguni katika Sayuni, inawapasa kuishi kwa neno la Mungu na mtende kulingana na neno Lake, mkiwa na imani iliyokomaa kama wana watakaopokea urithi. Mungu Aliwaambia watoto Wake sikuzote wajitoe wenyewe kuishi kulingana na neno Lake kwa sababu, kama vile tunavyopoteza nguvu zetu ikiwa tunaruka milo michache, tusipokula neno la Mungu, mkate wa uzima, kwa siku chache, tutamsahau Mungu na kuanguka katika mawazo mabaya.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha