Biblia inafundisha kwamba nia ya mwili ni uadui na Mungu na inaongoza kwenye dhambi na kwamba kutotii amri za Mungu pia ni dhambi, ambayo ni uasi.
Wale ambao wametenda dhambi hawawezi kamwe kuingia ufalme wa mbinguni. Wale wanaopokea msamaha wa dhambi na ahadi ya ufalme wa mbinguni kwa njia ya Pasaka, sheria ya Roho wa uzima, lazima waweke nia zao juu ya mambo ya Roho sikuzote, wakiachana na mawazo ya mwili, ambayo husababisha dhambi.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha