Kwa ajili ya wokovu wa wanadamu, Mungu, ambaye yuko katika wadhifa wa juu zaidi katika ulimwengu wote, Alijinyenyekeza kama mtumishi na kusema, “Mheshimiane sana katika upendo na ishini kwa amani ninyi kwa ninyi.”
Wakati hakuna upatanifu, ugomvi hutokea, lakini katika mahali pa upatanifu, kila kitu huenda vizuri.
Leo, injili ya Kanisa la Mungu inapitia ukuaji wa ajabu kwa kuwa waumini ulimwenguni kote wanapendana na kufanikisha upatanifu kulingana na mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha